Molawi Abdul Hamid Ismail Zehi, Imamu wa Msikiti wa Masunii wa Makki mjini Zahedan kusini mashariki mwa Iran amesema hatua ya Saudia kuwazuia Mahujaji Wairani mwaka huu si kwa maslahi ya Umma wa Waislamu.
Habari ID: 3470330 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/23